Vijana wa Kiislamu katika Campuni SSB Transportation Division

Published on by شبكة منهاج السنة النبوية

Vijana wa Kiislamu katika Campuni SSB Transportation Division

Kwanza kabisa katika kitengo cha Karakana kuna ofisi sisizo pungua Tano.

1. Utawala: Mkurugenzi  upo chini ya mtoto wa Said Salim Bakhressa ajulikanae kwa jina: Omar Said Salim Bakheressa
2 Sekretari wa Meneja  mkuu Dada ajulikanae kwa jina: Sabrina amezaliwa mwaka 1987 akiwa anaumri wa miaka 22 hivi leo.
3. Kitengo cha fedha muhasibu mkuu kiko chini ya kijana ajulikanae kwa jina: Abdallah Salmin Tamimi. Amezaliwa mwaka 1968 akiwa anaumri wa miaka 41 hivi leo
4. Idara ya takwimu inasimamiwa na Dada wafuatao: Thurayya amezaliwa mwaka 1988 akiwa anaumri wa miaka 21 hivi leo na Sulhiyya amezaliwa mwaka 1986 akiwa anaumri wa miaka 23 hivi leo.
5. Kitengo cha usafirishaji ndani na nje yaTanzania kikiendeshwa na vijana watatu wajulikanao kwa majina: Khalid Mbarak Jeedi (KIDEVU) amezaliwa mwaka 1968 akiwa anaumri wa miaka 41 hivi leo na Hamood Moh'd Al Asbahi (OSAMA) amezaliwa mwaka 1971 akiwa anaumri wa miaka 38 hivi leo na Bi Maimuna Adam amezaliwa mwaka 1973 akiwa anaumri wa miaka 36 hivi leo.
6. Kitengo usafirashaji na usambazaji mijini ndani ya Mkoa wa Dar es salaam kinaendeshwa na vijana wawili wajulikanao kwa majina: Suleiman Mahar Kalat (KINGI) amezaliwa mwaka 1966 akiwa anaumri wa miaka 43 hivi leo.na Mandaro (Assalafi) amezaliwa mwaka 1985 akiwa anaumri wa miaka 24 hivi leo.. 
7. Kitengo cha mafuta kinaendeshwa na kijana matata sana ajulikanao kwajina: Kalid Bamafrush (MYEMEN) amezaliwa mwaka 1973 akiwa anaumri wa miaka 36 hivi leo.
8. Kitengo cha karakana kikiendeshwa na vijana wawili wajulikanao kwa majina: Abdallah Seifu  amezaliwa mwaka 1964 akiwa anaumri wa miaka 45 hivi leo. na Jamali  Bin Thabit (LALAS) amezaliwa mwaka 1966 akiwa anaumri wa miaka 43 hivi leo.
9. Kitengo cha store kikiendeshwa na kijana ajulikanao kwa jina: Jamal Bin Taher (ZARKAWI) amezaliwa mwaka 1983 akiwa anaumri wa miaka 26 hivi leo.
10. Bila ya kumsahau tena Dada yetu ni Dada mkuu wavitengo vyote hivyo tulivyo vitaja hapo juu  muhishimiwa, na nsimamizi katika kitengo cha Transport Long Safari na cheo chake Feed Clerk, Bi (Maimuna).
11. Na tunatoa shukurani zetu za dhati kwa ndugu yetu msimamizi mkuu wa AICD ndugu (Munir Khan) amezaliwa mwaka 1987 akiwa anaumri wa miaka 22 hivi leo.
12 Vilevile hatujakusahau kaka yetu (Tariq) Dereva wa Veera amezaliwa mwaka 1973 akiwa anaumri wa miaka 36 hivi leo..
13. Nabil amaarufu kwa (NABIL MAHONDA) amezaliwa mwaka 1976 akiwa anaumri wa miaka 33 hivi leo.hatujakusahau kwa kweli upo ndani ya moyo wetu.
 14. Fadhili amezaliwa mwaka 1983 akiwa anaumri wa miaka 26 hivi leo, pia ni jamaa wakaribu sana kwetu tuna kupa hondera ya kuowa na tunaona mabadiliko sasa unakuja kazini umeulamba mkanda nje na manukato kwa wingi sana na kichwani mafuta hayakauki unameremeta kijana.
15. Aziz Machale maarufu kwa (Azizi Yusuf Bakheressa au Sakoro) amezaliwa mwaka 1979 akiwa anaumri wa miaka 30 hivi leo, wewe ni wa kwetu tuko pamoja na wewe hatuta kutupa ndugu yetu mpendwa sisi na wewe DAM DAM.

Lakini siku hizi watu wameacha kuleta bajia na vitumbua sijui  wanamuogopa (MYEMEN)!!!!

UJUMBE: ENYI VIJANA WA KIISLAMU SALA TANO MSIACHE MTAKUJA KULIZWA NA ALLAH SIKU YA KIAMA TARISHA JIBU LA KUMJIBU
To be informed of the latest articles, subscribe:
Comment on this post